- Version
- Download 201
- File Size 342.78 KB
- File Count 1
- Create Date October 25, 2024
- Last Updated October 25, 2024
Uchanganuzi Wa Umilisi Wa Kiisimu Wa Wanafunzi Wa Lugha Ya Kiswahili Katika Chuo Kikuu Cha Kimataifa Metropolitan (issue 4)
Katika chuo kikuu kikuu kimataifa cha Metropolitan kumekuwa na tatizo kubwa la umilisi mdogo wa kisimu kwa
wanafunzi wanaofunga masomo ya Lugha ya Kiswahili. Hii imekuwa kwa kipindi cha miaka mingi sasa bila kupata
ufumbuzi wa kudumu. Utafiti huu unategemea kufanya uchambuzi kamili kwa kutumia mbinu mbalimbali za utafiti
ili kujua sababu za kina za tatizo hili na kupanga mikakati sahihi ya kulilia tatizo hilo. Matokeo yenyewe
yatafananishwa na matokeo ya vifaa vya utafiti waliopita katika changamoto hii. Katika utafiti huu utafiti atatumia
michango ya wanafunzi, walimu na viongozi wa chuo kuu katika ngazi mbalimbali kwa njia ya mahojiano maalum,
maswali , makaratasi ya maoni na kambi za kujadili. Pia uta analizi wa takwimu za kisayansi kutoka katika rekodi za
chuo kuu zikiwemo matokeo ya mtihani, idadi ya wanafunzi, ukubwa wa programu na uelekeo wa mafanikio ya
wanafunzi kwa miaka. Hivi ni mbinu madhubuti zitakazomsaidia kupata ufumbuzi na tafsiri sahihi za tatizo hili la
muda mrefu limeshambaa.
Attached Files
File | Action |
---|---|
MJBE2024437.pdf | Download |