MJAMR

Uchanganuzi Wa Umilisi Wa Kiisimu Wa Wanafunzi Wa Lugha Ya Kiswahili Katika Chuo Kikuu Cha Kimataifa Metropolitan

Nuwagaba Medad, Mukoyani Geofrey


Abstract

Katika chuo kikuu kikuu kimataifa cha Metropolitan kumekuwa na tatizo kubwa la umilisi mdogo wa kisimu kwa wanafunzi wanaofunga masomo ya Lugha ya Kiswahili. Hii imekuwa kwa kipindi cha miaka mingi sasa bila kupata ufumbuzi wa kudumu. Utafiti huu unategemea kufanya uchambuzi kamili kwa kutumia mbinu mbalimbali za utafiti ili kujua sababu za kina za tatizo hili na kupanga mikakati sahihi ya kulilia tatizo hilo. Matokeo yenyewe yatafananishwa na matokeo ya vifaa vya utafiti waliopita katika changamoto hii. Katika utafiti huu utafiti atatumia michango ya wanafunzi, walimu na viongozi wa chuo kuu katika ngazi mbalimbali kwa njia ya mahojiano maalum, maswali , makaratasi ya maoni na kambi za kujadili. Pia uta analizi wa takwimu za kisayansi kutoka katika rekodi za chuo kuu zikiwemo matokeo ya mtihani, idadi ya wanafunzi, ukubwa wa programu na uelekeo wa mafanikio ya wanafunzi kwa miaka. Hivi ni mbinu madhubuti zitakazomsaidia kupata ufumbuzi na tafsiri sahihi za tatizo hili la muda mrefu limeshambaa.

Keywords

Uchanganuzi Wanafunzi Lugha ya Kiswahili Utafiti and Mikakati
Metropolitan Journal of Academic Multidisciplinary Research

Cite This Article

Nuwagaba Medad & Mukoyani Geofrey (2024). Uchanganuzi Wa Umilisi Wa Kiisimu Wa Wanafunzi Wa Lugha Ya Kiswahili Katika Chuo Kikuu Cha Kimataifa Metropolitan. Metropolitan Journal of Academic Multidisciplinary Research, 3(4). https://journals.miu.ac.ug/pages/article.php?article_id=1121

More in This Issue

View full issue →
32
Teachers’ Expectations And Students’ Achievements At Rwantsinga High School, Rubaya Sub-County Mbarara City
Ahereza Grace, Okee Jill Margaret
Teachers Expectations Students and Achievements
33
The Impact Of Computer Graphics And The Evolution Of Industrial Art Of Saddam Graphics
Sabiiti Pascal, Nkwasiibwe Kenneth
Computer Graphics Evolution Industrial Art and Saddam Graphics
35
Urbanization And Its Effects On Centers And Communities: A Case Study Of Mbarara City
Naijuka Edwin, Mayaja Moses
Urbanization Centers And Communities