Journal
Metropolitan Journal of Academic Multidisciplinary Research
MJAMR
Mchango Wa Misemo Na Nahau Katika Ukuzaji Wa Lugha Ya Runyakitara Katika Tarafa Ya Kitagwenda Shule Ya Upili Ya Kitagwenda
Ngabirano Penilope
| Journal | Metropolitan Journal of Academic Multidisciplinary Research (MJAMR) |
| Volume / Issue | Vol. 2, No. 11 |
| Published | 30 November 2023 |
| ISSN | 3006-4384 |
Abstract
Utafiti huu ulihusu nafasi ya misemo na nahau katika ukuzaji wa Lugha ya Runyakitara katika tarafa ya Bitooma wilayani Bushenyi, utafiti huu uliongozwa na Malengo ya fuatayo; Kubainisha misemo katika jamii ya Wanyankole, kufafanua dhima ya misemo katika ukuzaji wa Lugha ya Runyakitara na Kuchunguza Changamoto zinazokumba uwasilishaji wa misemo katika jamii ya Wanyankole. Utafiti huu ulizingatia Utaratibu wa nyanjani na alilenga wazungumzaji na wataalamu wa Lugha ya Runyakitara wanaoishi katika tarafa ya kitagwenda high school, mtafiti aliteua Sampuli ya utafiti kulingana na sifa kuwa wanauwezo wa kutoa data sahihi inayotakiwa kulingana na Lengo la utafiti huu yaani wanaokuwa na uwezo wa kutoa habari faafu waliojibu kikamilifu maswali ya utafiti, mtafiti aliandaa Vifaa vya utafiti kulingana na mada na Malengo ya utafiti. Vifaa hivi vilimwezesha mtafiti kukusanya data husika na kupata taarifa sahihi za utafiti wake. Vifaa hivi vilikuwa, mwongozo wa mahojiano, Hojaji na hata za maandishi. Hivi vyote vilitumiwa kukusanya data kwa udedushi wa kiidadi na siyo kiidadi. Utafiti huu ulihitimisha kwamba misemo na nahau inachangia sana katika ukuzaji wa Lugha ya Runyakitara kwa wale ambao wanaitumia vilivyomo lakini kwa sasa matumizi ya watumiaji wazawa na wageni. Pia tafifi zifanywe Kuchunguza njia gani zitumike zitakazoepusha kukwama kwa mawasiliano kutokana na matumizi ya misemo. Vile vile utafiti ufanyike Kuchunguza ubora na udhaifa wa matumizi ya misemo katika mawasiliano.
Keywords
Mchango wa misemo na nahau katika ukuzaji wa lugha ya runyakitara
Cite This Article
Ngabirano Penilope (2023). Mchango Wa Misemo Na Nahau Katika Ukuzaji Wa Lugha Ya Runyakitara Katika Tarafa Ya Kitagwenda Shule Ya Upili Ya Kitagwenda. Metropolitan Journal of Academic Multidisciplinary Research, 2(11). https://journals.miu.ac.ug/pages/article.php?article_id=1533
More in This Issue
View full issue →
41
The Effect of Soil Erosion on Agricultural Production, a Case Study of Rice Growing in Bwaise, Wakiso Disrict
Soil erosion
agricultural production and Rice growing
42
Vocational Skill Acquisition as a Determinant of Entrepreneurship Development Among Home Economics Graduates in Lagos State
Determinants
Home Management Skill
Entrepreneurship Development
43
Working Capital Management and Financial Performance of Secondhand Car Trading Companies in Kampala District, Uganda
Working Capital Management
Financial Performance
Risk Assessment
Secondhand Car