MJAMR

Mchango Wa Kutumia Vyombo Vya Habari Katika Kueneza Lugha Ya Kiswahili Nchini Uganda: Eneo La Munispali Ya Nansana

Magezi Adinari, Mukoyani Geophrey


Abstract

Utafiti uliolenga mchango wa kutumia vyombo vya habari katika kueneza lugha ya kiswahili nchini Uganda na iliongozwa na maswali yafuatayo Kutathimini sababu zinazofanya Kiswahili kisitumike katika kutangaza habari na vipindi, Kutambua maoni kwa nini wananchi hawaelewi lugha ya Kiswahili na Kuchunguza athari za vyombo vya habari katika lugha ya Kiswahili nchini Uganda. Kiswahili kinatambulika kama lugha ya Afrika Mashariki. Kwa miaka mingi sasa imekuwa ikipata hadhi ya lugha ya Kimataifa, licha ya kwmba imekuwa ndio njia kuu ya mawasiliano baina ya watu wa makabila tofauti. Sifa hizi zote ni ushahidi wa haraka tu kwamba Kiswahili ni lugha ambayo imeweza kujenga misingi maalum ya maarifa ya wazungumzaji wake. Hii inatokana na kuwa hizi ni sifa zinazodhihirisha kuwa Kiswahili kinaweza kuzielezea dhana tofauti za watu wa aina mbalimbali na zikaeleweka kwa wazungumzaji wengine na hivyo watu kuelewana. Mtafiti alitembelea ofisi mbalimbali za vyombo vya habari na kuhojiana nao ambapo jumla ya watalaamu sitini aliowatembelea walisema Lugha ya Kiswahili inafaa kutumika kutolewa habari vyomboni vya habari, ambapo matokeo yalikuwa kama ifuatavyo, asilimia 80 walisema inafaa, asilimia 05 walisema haifai kutumia kiswahili kama lugha ya kutolewa habari na asilimia 15 walisema lugha zote ni sawa. Tamko la serikali kuhusu matumizi ya lugha ya kiswahili katika shughuli za umma. Kiswahili ndio lugha pekee ambayo huzungumzwa na kueleweka na idadi kubwa zaidi ya watanzania nchini kote. research.miu.ac.ug/publications 936 Metropolitan Journal of Social and Educational Research (MJSER) ISSN 1813-4262 (Print) ISSN 1813-4270 (online) Vol. 2 Issue 2, May - 2023, Pages: 936-945

Keywords

kutumia vyombo na mchango
Metropolitan Journal of Academic Multidisciplinary Research

Cite This Article

Magezi Adinari & Mukoyani Geophrey (2023). Mchango Wa Kutumia Vyombo Vya Habari Katika Kueneza Lugha Ya Kiswahili Nchini Uganda: Eneo La Munispali Ya Nansana. Metropolitan Journal of Academic Multidisciplinary Research, 2(5). https://journals.miu.ac.ug/pages/article.php?article_id=1546

More in This Issue

View full issue →
36
37
The Impact of Household Income on Education Attainment of Children: Acase Study of Rubaga Division of KCCA.
Elelu Denis, Kalikola Jacob
household income and education of children
39
The Influence of Health Education on Maternal Mortality Rate in Uganda: A Case Study of Nsangi Sub-County, Wakiso District
Namutebi Hadijah, Natukunda Jill Margret, Dr Ariyo Gracious Kazaara
health education and maternal mortality rate
40
The Role of Uganda Media in Protection of Women’s Rights in Uganda, a Case Study of New Vision News Paper.
Ainembabazi Edinah, Dr Arinaitwe Julius, Crispus Freeman
media and women’s rights