MJAMR

Changamoto Za Ufundishaji Wa Silabasi Ya Kiswahili Wa Mtaala Mpya Katika Shule Za Sekondari Nchini Uganda: Kata Ya Kyaka Kuu, Wilaya Ya Kyegegwa

Ndyamuba Francis, Mukoyani Geophrey


Abstract

Uanzishwaji wa silabasi mpya ya Kiswahili katika shule za sekondari nchini Uganda umesababisha changamoto katika ufundishaji wa silabasi hiyo mpya. Lengo la silabasi hiyo ni kuimarisha uwezo wa wanafunzi katika lugha ya Kiswahili, lakini njia mpya za ufundishaji, maudhui, na mbinu za tathmini zimekuwa kikwazo kwa walimu na wanafunzi. Walimu wanakabiliwa na changamoto katika ufundishaji na tathmini ya wanafunzi kwenye silabasi mpya, huku wanafunzi wakipambana kuelewa maudhui na dhana mpya. Makala hii inalenga kuchunguza changamoto zinazokabili walimu katika ufundishaji wa silabasi mpya ya Kiswahili na kutoa suluhisho la kuzishinda. Inatarajiwa kuwa utafiti huu utatoa ufahamu katika ufundishaji na ujifunzaji wa Kiswahili kwa ufanisi katika shule za sekondari nchini Uganda, hivyo kuimarisha uwezo wa wanafunzi katika lugha na ujuzi wa mawasiliano.

Keywords

changamoto za ufundishaji na mtaala
Metropolitan Journal of Academic Multidisciplinary Research

Cite This Article

Ndyamuba Francis & Mukoyani Geophrey (2023). Changamoto Za Ufundishaji Wa Silabasi Ya Kiswahili Wa Mtaala Mpya Katika Shule Za Sekondari Nchini Uganda: Kata Ya Kyaka Kuu, Wilaya Ya Kyegegwa. Metropolitan Journal of Academic Multidisciplinary Research, 2(5). https://journals.miu.ac.ug/pages/article.php?article_id=856

More in This Issue

View full issue →
21
Influence of Mushrooming Media on Journalism Ethics in Uganda a Case Study of Uganda Broadcasting Corporation (UBC)
Kemigisa Shakilah, Dr Ariyo Gracious Kazaara, Dr Omedo Vincent
mushrooming media and journalism ethics
23
On-Job Training and Employee Productivity a Case Study of Ishaka-Bushenyi Municipal Council, Bushenyi District.
Amutuhaire Maurise, Ngiri Andrew
on-job training and employee productivity
25
Pesticides and Food Security in Kisoro District: A Case Study of Kisoro Municipality
Maganda Ali, Magala Peter
pesticides and food security